Mwakilishi
wa Mratibu wa Lishe katika Ofisi ya Waziri Mkuu, Sarah Mshiu (kulia) akikabidhi
unga wa lishe na maziwa kwa mkazi wa Lindi, Zainabu Ali na mtoto wake Bright
Abdallah, ambaye aliweza kuelezea vizuri masuala ya lishe, katika uzinduzi wa
kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya
mama wajawazito na watoto ulioandaliwa na Shirika la Watoto la Save the Children
kwa kushirikiana na Jukwaa la Lishe Tanzania (PANITA) katika
Uwanja wa Ilulu, Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa Save the Childern Tanzania, Rachel Pounds.
Uwanja wa Ilulu, Mkoani Lindi mwishoni mwa wiki. Katikati ni Mkurugenzi wa Save the Childern Tanzania, Rachel Pounds.
Mkazi
Lindi, Habiba Rashidi, akihamasisha wakazi wa mkoa huo kuhusu umuhimu wa lishe
bora wakati wa maandamano ya watoto, katika uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha
umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya mama wajawazito na
watoto.
Baadhi
ya watoto wa Lindi wakitembea kwa maandamano katika uzinduzi wa kampeni ya
kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya mama
wajawazito na watoto.
Mkurugenzi
wa Shirika la Watoto la Save the Children Tanzania, Rachel Pounds, akizungumza
katika uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye lengo la
kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto ulioandaliwa na shirika hilo kwa
kushirikiana na Jukwaa la Lishe Tanzania (PANITA) katika Uwanja wa Ilulu, Mkoani
Lindi mwishoni mwa wiki. Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Mratibu wa Lishe katika
Ofisi ya Waziri Mkuu, Sarah Mshiu, Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Hamidi
Nassoro, Mbunge wa Viti Maalumu, Lediana Mafuru Mng’ong’o na Mbunge wa
Serengeti, Dk Kwebe Stephen Kwebe.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Lediana Mafuru Mng’ong’o, akizungumza katika
hafla hiyo.
Mwanamuziki
mkongwe nchini, Kassim Mapili, akifanya vitu vyake pamoja na wasanii wa Mjomba
Band, katika hafla ya katikasherehe za uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha
umuhimu wa lishe bora yenye lengo la kupunguza vifo vya mama wajawazito na
watoto.
Msanii
wa Mashairi, Mrosho Mpoto, akikonga nyoyo za wakazi wa Lindi waliojitokeza
katika sherehe za uzinduzi wa kampeni ya kuhamasisha umuhimu wa lishe bora yenye
lengo la kupunguza vifo vya mama wajawazito na watoto.
Post a Comment