Mhariri Mkuu wa The Guardian on Sunday, Richard
Mgamba(kushoto)akiongea na waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo
(DRC),wakati walipotembelea ofisi za The Guardian Limited,kwa kujifunza kwa
ajili ya kujifunza namna ya kuelimisha jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya
kazi hapa nchini kupitia vyombo vya habari,wapili kushoto ni Meneja Mahusiano wa
Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ambae alikuwa mwenyeji wa wageni
hao.
Meneja wa vipindi wa Clouds TV Wasiwasi
Mwabulambo(kushoto)akiwaonesha namna wanavyoandaa vipindi baadhi ya waandishi
wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),wakati walipotembelea ofisi za Clouds
Media Group,mahususi kwa ajili ya kujifunza namna ya kuelimisha jamii kuhusu
huduma ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini kupitia vyombo vya
habari.
Mmoja wa watangazaji wa Clouds TV Ben Kinyaiya
akipozi katika picha na Mwandishi wa gazeti la Antenne A la DRC Mamy
Tambu.
Mhariri Mkuu wa Clouds Joyce Shebbe, akiongea na
waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),kuhusu namna wanavyofaidika na
huduma ya M pesa wakati walipotembelea Ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya
kujifunza namna ya kuweza kuelimisha jamii jinsi ya kutumia huduma ya M pesa
kupitia vyombo vya habari.
Mhariri Mkuu wa Clouds Joyce Shebbe, akiongea na
waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo (DRC),kuhusu namna wanavyofaidika na
huduma ya M pesa wakati walipotembelea Ofisi za Clouds Media Group kwa ajili ya
kujifunza namna ya kuweza kuelimisha jamii jinsi ya kutumia huduma ya M pesa
kupitia vyombo vya habari.
Meneja Mahusiano wa Vodacom DRC Fanny
Kazadi,akifanyiwa mahojiano.
Mwandishi Mwandamizi wa kituo cha Televisheni cha
Channel ten,Bw.Dachi Mbwana akiongea na waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya
Kongo (DRC),wakati walipotembelea ofisi za Africa Media Group,kwa ajili ya
kujifunza namna ya kuelimisha jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya kazi
hapa nchini kupitia vyombo vya habari,wapili kushoto ni Meneja Mahusiano wa
Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu ambae alikuwa mwenyeji wa wageni
hao.
Waandishi wa habari kutoka Jamhuri ya Kongo
(DRC),wakiwa katika picha ya pamoja na wenyeji wao wakati walipotembelea kituo
cha Televisheni cha Channel ten na Magic FM, kwa ajili ya kujifunza namna ya
kuelimisha jamii kuhusu huduma ya M-pesa inavyofanya kazi hapa nchini kupitia
vyombo vya habari.


Post a Comment