Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WABUNGE WAMEPIGA KAMBI WAKILA MAZOEZI MAZITO

 

Wabunge wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania wakiwa kwenye mazoezi ya Gmy kwenye Gmy ya life ambayo pia imetoa ofa kwa timu mbali mbali za taifa ambazo zitaweka kambi jijini hapa kupata mazoezi ya gmy bure ikiwa kama sehemu yao ya kuimarisha ushindi kwa timu zetu

mh.Idd Azzan ambaye pia ni mwenyekiti wa timu hiyo wakiwa kwenye mlima wa mawe kwa mazoezi ya kujiwinda kwa safari ya Nairobi ambayo waliianza jana na kuahidi ushind kwa timu hiyo
mh.Grasse Kiwelu,mh;Ester Bulaya na wahishimiwa wangine wakiwa kwenye mazoezi ya gmy kweny gmy ya Life iyopo kwenye mtaa wa Sengengeri mkabala na baclays back wakifuatilia kwa ukaribu maelekezo ya mwalim wao wa gmy( picha zote na mahmoud ahma arusha)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top