Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Mpanda mkoa wa
Katavi,tayari kwa ziara yake ya kikazi katika jimbo la Katavi kukagua shughuli
za maendelo.
Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya maofisa wa shirika la nyumba NHC
ambao wapo mkoani Katavi katika ujenzi wa nyumba katika mkoa huo mpya.Picha na
Chris Mfinanga.


Post a Comment