Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akimjulia hali Baba
yake mzazi Mzee Savere Kayanza Pinda ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa
Muhimbili kitengo cha Moi kwa matibabu ya Maradhi yanayomsumbua.Mzee Pinda yupo
hospitalini hapo baada ya kufanyiwa upasuaji kutokana na tatizo la nyonga.kulia
kwa waaziri mkuu ni Muuguzi mkuu wa zamu wodi hiyo Edna Mhina na kushoto kwa
waziri mkuu ni Donatila Kwelukila ambaye ni afisa muuguzi chumba cha wagonjwa
mahututi
on Monday, December 31, 2012
Post a Comment