
Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika Bwana James Douglas (kulia) kuhusu rasimu ya Katiba ya Baraza la Vijana wa Jumuiya hiyo.Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Bwana James Kajugusi.

Waziri wa Habari Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiongea na Mkurugenzi wa Kituo cha Mpango wa Vijana wa nchi wananchama wa Jumuiya ya madola Kanda ya Afrika Bwana James Douglas (kulia) kuhusu rasimu ya Katiba ya Baraza la Vijana wa Jumuiya hiyo.Picha na Benjamin Sawe-Wizara ya Habari Vijana, Utamaduni na Michezo


Post a Comment