Basi
lililokuwa likitoka morogoro kwenda tanga limepinduka na kusababisha
vifo vya watu watu watatu papo hapo,huku dereva wa gari hiyo akifa
vibaya kwa utumbo kutoka na oyo kutoka nje baada ya kuchomwa na kipande
cha mti.Abiria wengine waliofariki ni dereva wa bodaboda na abiria wake
wa kike,ajali hiyo imetokea eneo la msata.
SOURCE ITV
on Sunday, January 20, 2013
Post a Comment