Waombolezaji mbalimbali wakiwemo waigizaji
wa filamu nchini Bongo Movie wakiwasili Tabata Bima nyumbani kwa marehemu Juma
Kilowoko SAJUKI aliyefariki leo asubuhi kwenye Hospitali ya Muhimbili wodi ya
Mwaisela, ambako alikuwa amelazwa kwa matibabu, bado taarifa rasmi za mazishi ya
mwigizaji huyo hazijatolewa na mwili wa marehemu umehifadhiwa katika hospitali
ya taifa ya Muhimbili.
Msanii wa vivhekesho, Mtanga (kushoto) akiwa na waombolezaji wengine katika msiba wa Sajuki leo Januari 2, 2013. |
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Sajuki leo Januari 2, 2013. |
Post a Comment