Maofisa wa Polisi wakiwa wamebeba jeneza la
mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy aliyefia Darfur Sudan
alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani katika jimbo
hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya
Kisutu.
Askari wa Kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi EX SSP Hawa Luzy
aliyefia Darfur Sudan alipokuwa amekwenda kwa ajili shughuli za ulinzi wa amani
katika jimbo hilo.Ofisa huyo alizikwa jana katika makaburi ya Kisutu kwa heshima
zote za kijeshi
Post a Comment