Beny Kinyaiya (kulia) akiwa
ameshikilia keki ya sherehe yake kabla ya kuikata na kuwalisha wageni
wake. Marafiki zake wakimmwagia pombe na maji. …Akiendelea kumwagiwa maji.
Mvua ya maji na pombe ikiendelea kumuangukia.
‘Mzaliwa leo’ akiomba asiendelee kumwagiwa maji.
Beny akikata vipande vya keki kuwalisha
waalikwa.
Huyo ni rafiki yake. …Akimlisha Lady Naa keki.
…Akila keki kwa staili yake.
Huyo ni kaka yake Beny.
Castor Dickson akionjeshwa keki.
Babu wa Kitaa alikuwepo.
Nisha naye alishiriki.
Steve Nyerere akionja ladha ya keki hiyo.
Babu wa Kitaa akipata chakula na marafiki
zake.
Steve Nyerere, Nisha na marafiki zao wakiwa
katika pozi.
Post a Comment