Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

JACK WA CHUZ AIKANA MIMBA YAKE

 

 

MSANII wa sinema za Kibongo Jacqueline Pentzel ‘Jack wa Chuz’ amekanusha habari zinazosambaa mitaani kwamba ana ujauzito.


Habari hizo zilisambaa baada ya kuonekana picha katika Mtandao wa BBM zikimuonesha msanii huyo akiwa na kitumbo.

Picha hizo ziliingizwa katika mtandao huo na msanii mwenzake Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’ ambaye baadaye alithibitisha kwamba Jack ni mjamzito....

“Kama unavyoniona niko fiti na sina mimba, zile picha tumepiga kwa ajili ya filamu na hakuna kitu kama hicho, wala sitarajii kuwa na mimba kwa siku za hivi karibuni,” alifafanua Jack .
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top