Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali Bw. Ludovick Utouh (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume
ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa mikutano wa Tume hiyo jijini Dar es
Salaam (Jumamosi, Januari 19, 2013). Bw. Utouh alikutana na Wajumbe wa Tume
hiyo kutoa maoni ya taasisi yake kuhusu Katiba Mpya.
Waziri Mstaafu na
Mwanasiaisa Mkongwe nchini, Mzee. George Kahama (kushoto) akizungumza katika
mkutano na wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba leo katika ofisi za Tume
Jijini Dar es Salaam (jumamosi, januari 19, 2013) na kutoa maoni yake kuhusu
Katiba Mpya. Katikati ni Mwenyekiti wa Tume, Jaji Joseph Warioba na Makamu
Mwenyekiti, Jaji mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.


Post a Comment