Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

DK SLAA AZINDUA MATAWI MAWILI YA CHADEMA MJINI MOSHI

 

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akipandisha bendera ya Chama kuashiria uzinduzi wa tawi Jipya la CHADEMA Classic lililoko katika kata ya Longuo mjini Moshi.
Meya wa manispaa ya Moshi,Jafary Michael akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema Classic lililopo kata ya Longuo mjini Moshi.
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Dkt. Wilbroad Slaa akikata utepe wakati akizindua tawi la vijana wa CHADEMA la Aslam Garage mjini Moshi.
Diwani wa viti maalum,Hawa Mushi akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la vijana wa Chadema katika eneo la Aslam Garage mjini Moshi.
Mwenyekiti wa Baraza kuu la vijana wa Chadema (BAVICHA),John Heche
akizungumza wakati wa uzinduzi wa tawi la Chadema classic lililopo kata ya Longuo B mjini Mosh
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top