Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati wa
ufunguzi Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto,
ulioanza leo Januari 15, 2013, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baadhi ya
viongozi wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa Arusha, wakati alipowasili kwenye
Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku
tatu wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini
Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiongozana na viongozi wa
Mkoa wa Arusha wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa AICC,
Jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Afya
wa Rwanda, Agnes Binagwaho, baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu
wa kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Baadhi ya washiriki wa
mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya
pamoja na baadhi ya viongozi wa na waratibu wa mkutano huo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifurahia burudani ya
ngoma ya asili wakati akiondoka katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa AICC
baada ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama
na Mtoto, ulioanza leo, jijini Arusha.
Loading...
Home » Unlabelled » MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SIKU 3 WA AFYA YA MAMA NA MTOTO,JIJINI ARUSHA
Post a Comment