Kamapuni ya China Jiangchang Engineering Co. Ltd (CRJE) ndiyo imekabidhi mradi huo ramsi hii leo baada ya kukamilika ujenzi wake uliowashirikisha pia wakandarasi wadogo 6 wa ndani.
Jiji la Arusha limepata muonekano mpya kwa kuongezewa
jengo refu, kubwa na la kisasa kwa shughuli za kiosifi na biashara. NSSF nao
wanategemea kuhamishia offisi zao kwa kanda hii katika jengo hili, halikadhalika
huduma za kibenki zitapatikana hapo.
Mbunifu wa jengo, mwakilishi wa NSSF, Injinia Mshauri pamoja na injinia mkaazi wakipata chakula cha mchana kilichoandaliwa maalumu kwa ajili yao na wataalalmu wengine walioshiriki katika ujenzi wa mradi huo, katika hoteli ya kitalii ya Kibo Palace ya Jijini Arusha.
| Picha na Matukio kwa hisani ya Arusha255 Blog na Wazalendo 25 Blog |


Post a Comment