Mke
wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki', Wastara
Juma, akiwa na simanzi nzito kwa kumpoteza
mumewe.
Baba
mzazi wa marehemu, Juma Kilowoko 'Sajuki' akiwasiliana na ndugu
na jamaa msibani hapo.…
Dada
wa marehemu Sajuki akilia kwa uchungu.
Pichani juu ni baadhi ya taswira za waombolezaji wakiwa nyumbani kwa marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki', Tabata- Bima jijini Dar es Salaam. Sajuki amefariki dunia leo alfajiri akiwa katika hospitali ya taifa Muhimbili ambapo alikuwa akitibiwa.
Post a Comment