|
Waumini wa dini ya Kislam
wakiomba dua mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu Doto Kipenga
(aliewahi kuwa Bondia Miaka ya nyuma) kabla ya mazishi
yake. |
|
Bondia wa timu ya Taifa
Selemani Kidunda mbele akiwa amebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto Kipenga
aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika katika
makabuli ya Kigogo Mburahati jana. |
|
Bondia wa ngumi za kulipwa
Japhert Kaseba akiwaongoza wenzie kulibeba jeneza lenye mwili wa marehemu Doto
Kipenga aliyekuwa bondia wakati wa uhai wake kwa ajili ya maziko yaliyofanyika
katika makabuli ya Kigogo Mburahati jana |
on Wednesday, January 2, 2013
Post a Comment