Mh Waziri Mkuu Mizengo Pianda amemtunuku bibi Teresia Zakaria kutokana na kushiriki shindano la maisha plasi 2012 aishika na fasi ya kwanza na kuweza kutanga mkoa wa katavi Tuzo ya heshima ya mkoa wa katavi ya mwaka 2012 wanoshuhudia nia viongozi wa mkoa wa katavi shuguli hiyo iliambatana na kukaribisha mwaka 2013 picha na chris mfinanga.
Mh Waziri mkuu Mizengo Pinda amemtunuku Rpc wa mkoa wa katavi acp Dhahiri Kidavashari Tuzo ya heshima ya mkoa wa katavi ya mwaka 2012 kutokana na uhamasishaji wa jamii kushirikiana na jeshi la polisi katika kupambana na uhalifu yani polisi jamii kulia kwa waziri mkuu ni mkuu wa mkoa wa wakatavi Dr Rajabu Rutengwe na kulia kwa mkuu wa mkoa ni Mbunge wa mpanda mh Saidi Arifi sherehe hiyo ilifanyika usiku wa mkesha wa kukaribisha mwaka mpya mkoani katavi .
Mh Waziri Mkuu Mizengo Pinda amezindua kitabu chenye historia ya kabila la Wapimbwe linalotoka mkoa wa katavi kushoto kwa waziri mkuu ni mmoja wa watunzi wa kitabu bwana Peter Mgawe mhadhiri wa chuo cha ustawi wa jamii anaye fuatia ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa katavi bwana Mselemu Abdala na kulia kwa waziri mkuu ni mkuu wa Mkoa wa Katavi Dr Rajabu Rutengwe sherehe hizo zilifanyika katika mkesha wa kukaribisha mwaka mpya mkoani katavi picha na chris mfinanga