Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIKAO CHA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR CHAANZA RASMI LEO.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (kulia)akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi huko Mbweni Nje ya Mji wa Zanzibar.Baraza la Nane la Wawakilishi limeanza rasmi leo ikiwa ni Kikao cha kwanza 16 January 2013,Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha Uchumi na Mipango ya Maendeleo Omar Yussuf Mzee (katikati)akisisitiza jambo katika mazungumzo na Muakilishi wa Jimbo la Mji Mkongwe Ismail Jusa Ladhu nje ya Ukumbi wa Baraza la Wawaklilishi huko Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar wamwanzo kushoto ni Muakilishi wa Jimbo la Magomeni Salmin Awadh Salmin.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top