  Mstaiki 
Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa 

 Mstaiki 
Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na 
kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.

Mstaiki Meya wa jiji la 
Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea 
halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea 
mbinu za kisasa za kukusanya mapato.
--
Mstaiki meya wa jiji la 
Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea 
halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea 
mbinu za kisasa za kukusanya mapato.
Mstaiki Meya wa Halmashauri 
ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi 
walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.
Jiji la 
Mwanza na Manispaa ya Ilala zinaanzisha Udada.

Post a Comment