Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KIM KARDASHIAN AFUATA NYAYO ZA RIHANNA NA CHRIS BROWN KWA KUZULU IVORY COST.

 

Baada ya mastaa wawili wa muziki kutoka nchini marekani kuitembelea nchi ya Ivory Cost katika tuzo za KORA hivi karibuni, nguli wa scandle Kim Kardashian ambaye anaujauzito wa rapa Kanye West, ametia timu nchini Ivory Cost pia.

Kim Kardashiani ambaye ni staa anayeongoza kuzungumziwa katika mtandao wa Internet ameonekana akitupia ujumbe katika ukurasa wake wa Tweeter kuwa amesha tua nchini Ivory Cost kwaajili ya kutalii.

CHANZO: ASILI YETU
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top