Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiwapungua
mikono wageni waalikwa wakati wa hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa
ajili ya kusherehekea Mwaka Mpya wa 2013,iliyofanyika nyumbani kwake
Monduli.
Mbunge wa Jimbo la Kilindi,Mh.
Beatrice Shelukindo (wa pili kulia) akiambatana na Mbunge wa Jimbo la
Bariadi,Mh. Andrew Chenge wakati wakiwasili kwenye hafla ya Chakula cha Mchana
iliyokuwa imeandaliwa na Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa 2013.
Wafanyabiashara maarufu jijini
Arusha,Papa King na Mdau Mathias (MNEC) wakiwasili kwenye hafla
hiyo.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa
Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akihutubia wageni mbali mbali waliohudhulia
hafla ya Chakula cha Mchana aliyoiandaa kwa ajili ya kuukaribisha Mwaka Mpya wa
2013,iliyofanyika nyumbani kwake,Monduli.
waalikwa wakipata Chakula nyumbani
kwa Mh. Lowassa.
Post a Comment