Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAHAFALI YA NNE CHUO CHA UFUNDI ARUSHA YAFANA

 

picha na 6Mgeni rasmi , Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mh. Philipo Mulugo(kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Eng. Dkt. Richard Masika wakiwa wameshikia mfano wa Hundi wa sh. Mil 10 kwa ajili ya wanafunzi 10 bora. Fedha hizi ni Ahadi ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Mizengo Peter Pinda, wakati wa mahafali ya Tatu mwaka 2012 kwa wanafunzi bora wa chuo hicho.

picha na 7Wanafunzi Bora wa Kike kwa kila idara walizawadiwa Kompyuta aina ya
laptops kutoka ufadhili wa Shirika la Maendeleo la Italia wakiwa katika picha ya pamoja na Naibu Waziri wa Elimu Mh. Philip Mulugo baada ya kukabidhiwa zawadi zao.

picha 3
Mgeni Rasmi, Mh. Philipo Mulugo akihutubia wahitimu na wageni waalikwa wakati wa mahafali ya Chuo cha Ufundi Arusha yaliyofanyika jana kwenye viwanja vya shule hiyo mkoani Arusha

picha 5Mkuu wa Chuo cha Ufundi, Eng. Dkt. Richard Masika akitoa Hotuba wakati wa mahafali ya Nne ya Chuo.

Picha na 1Wanafunzi wakiingia kwa maandamano wakati wa mahafali yao yaliyofanyika jana jijini Arusha

picha na 4Mkuu wa Bodi ya chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Abraham Nyanda alitoa Hotuba wakati wa Mahafali.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top