Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara), Philip Mangula akizungumza na wajumbe wa
nyumba kumi wa Ilemela na Nyamagana jijini Mwanza, alipokutana nao
kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo Januari 20, 2013, kabla ya kuhutubia
mkutano wa hadhara kwenye uwanja huo.
Wajumbe
wa nyumba kumi wakimsilikiza Mangula alipozungumza nao kwenye Uwanja wa
Nyamagana jijini Mwanza muda huu kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara
baadaye kwenye Uwanja huo.
Wajumbe
wa nyumba kumi wa Ilemelea na Nyamagana jijini Mwanza, wakiwa katika
foleni kwa ajili ya kumuuliza maswali Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)
Philip Mangula, alipozungumza nao kwenye Uwanja wa Nyamagana, leo
Januari 20, 2013.
Post a Comment