Katibu
 Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya 
katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba 
katika ofisi za Tume leo (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti 
wa Tume Jaji Jospeh Warioba na kushoto ni Mjumbe wa Tume Prof. Mwesiga 
Baregu.
 Mkurugenzi
 wa Uratibu katika Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Bw. Ahmad 
Kassim Haji akiongea katika mkutano na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya 
Katiba uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es Salaam leo 
(Jumapili, Jan 20, 2013). Ofisi hiyo ya ya Makamu wa Pili wa Rais 
Zanzibar iliwasilisha maoni ya watumishi wake kuhusu Katiba Mpya. kwa 
Tume.
Katibu
 Mkuu Mstaafu Bw. Vincent Mrisho akitoa maoni yake kuhusu Katiba Mpya 
katika mkutano kati yake na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba 
katika ofisi za Tume leo (Jumapili, Jan 20, 2013). Kulia ni Mwenyekiti 
wa Tume Jaji Jospeh Warioba.

Post a Comment