| BAADHI YA WAKAZI WA IMEZU WAMESEMA AJALI HIYO IMESABABISHWA NA MWENDO KASI | 
| MWILI WA MAREHEMU ENOCK LWILA UKIWA UMELAZWA CHINI KUSUBIRI WANA USALAMA KUJA UCHUKUA | 
| MAREHEMU ENOCK LWILA AMEKUTWA NA ZAIDI YA SHILINGI MILION 15 KATIKA SOKSI NA KWENYE MIFUKO YAKE YA SURUALI INASEMEKEANA ALIKUWA ANAENDA DSM KUNUNUA BIDHAA MBALIMBALI ZA DUKANI KWAKE | 
| TAARIFA KAMILI YA KUHUSU AJALI HII TUTAWALETEA BAADAE | 


Post a Comment