Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mkutano wa baraza la UVCCM mkoani Arusha wafanyika leo,Pia watembelea Hospitali ya Mount Meru kutoa misaada


Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha,Onesmo Nangole (aliesimama) akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi wa mkutano wa baraza la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoani Arusha uliofanyika katika hotel ya golden rose,ambao ulikuwa ukizungumzia mambo mengi ikiwemo kuondoa makundi yaliopo katika chama chao na kujipanga kikamilifu katika kuimarisha chama chao.
Viongozi wa chama cha mapinduzi wakiimba wimbo wa chama kabla ya mkutano wa baraza la UVCCM mkoa wa Arusha.
wajumbe walikuwa makini kusikiliza nini haswa kinazungumzwa
Mmoja wa wauguzi wa hospitali ya mkoa wa Arusha (Mounti Meru Hospital) akiwapa maelekezo viongozi wa Chama cha Mapinduzi pamoja na wanachama wa UVCCM waliotembelea hospitali hiyo kwa ajili ya kutoa misaada kwa wagonjwa waliolazwa hospitalini hapo.wa kwanza kulia ni Katibu wa UVCCM mkoa wa Arusha Salus Kidima akifuatiwa na mwenyekiti wa UVCCM mkoa Robson Meitinyiku
mjumbe wa baraza kuu la UVCCM taifa toka mkoa wa Arusha Benson Mollel wa kwanza kushoto akifuatiwa na mwenyekiti UVCCM mkoa Robson Meitinyiku wakitoa msaada kwa mtoto Frank aliyekuwa amelazwa kwenye hospitali ya mounti meru.
wajumbe wa UVCCM pia walikuwepo katika zoezi zima la kugawa misaada kwa wagonjwa waliokuwa wamelazwa katika hospitali ya mounti meru

Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha,Robson Meitinyiku akimfariji mtoto mara baada ya kumkabidhi msaada.

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top