Naibu Waziri ,Wizara ya
Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy mwalimu (wa pili kulia) akiwa
pamoja na Kamishna Msaidizi wa Polisi na Mkuu wa Dawati la Jinsia la
Polisi,Adolphina Chalo (kushoto), Katibu Tawala Tarime,Erenest Kabohora na
Mwenyekiti wa halmashauri Tarime,wakati alipofanya Ziaya katika Wilaya ya Tarime
ya kuhamasisha Wananchi wa Wilaya hiyo kuacha utamaduni wa Kuwakeketa watoto wa
kike.
Mmoja wa wananchi
akichangia hoja wakati wa mkutano wa hadhara kuhamasisha kuacha vitendo vya
Ukeketaji.
Kundi la Vijana
wakisherekea baada ya watoto wa kike kukeketwa.
Sehemu ya wanawake
waliohudhuria katika mkutano wa hadhara juu ya uhamasishaji wa kuachana na
vitendo vya ukeketaji.
Mhe.Ummy Mwalimu katika picha ya pamoja na wazee wa mila katika kijiji cha Kiongera, Kamishna Msaidizi ,Katibu Tawala na Mwenyekiti wa Halmashauri
Post a Comment