Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu
Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es
salaam leo Januari 4, 2013.
Mke wa Rais Mama Salma
Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa msanii wa filamu
Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' nyumbani kwao wafiwa Tabata Bima jijjini Dar es
salaam leo Januari 4, 2013.
Rais Jakaya Mrisho
Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa nyumbani kwa msanii wa filamu
Marehemu Juma Kilowoko ' Sajuki' Tabata Bima jijjini Dar es salaam
leo ambako walienda kutoa pole leo Januari 4, 2013.PICHA NA
IKULU.
Rais Jakaya
Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki wakati wa mazishi ya
msanii huyo leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam
Jeneza lililobeba Mwili wa
Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) likiwasili kwenye Makaburi ya Kisutu
jijini Dar es Salaam mchana huu tayari kwa Mazishi yaliyoongozwa na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania,Mh. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye Kaburi la
Marehemu Sadick Juma Kilowoko (SAJUKI) yaliyofanyika mchana huu kwenye Makaburi
ya Kisutu,Jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya msanii Sajuki leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.Picha Na Ikulu
Wakazi wa Jiji La Dar Wakifukia Kaburi la aliyekuwa Msanii wa Bongo Movie Juma Kilowoko maarufu kama SAJUKI
Sehemu ya waliohudhuria msiba wa Sajuki katika makaburi ya Kisutu
Wadau mabali mbali wakisubiria mwili wa Marehemu Sajuki, huku Profesa Jay akionekana kwa mbali miongoni mwa wanaousubiri mwili.
Umati wa watu ukiwa makaburini Kisutu Dar
Mwili wa marehemu Sajuki ukiwasili katika makaburi ya Kisutu tayari kwa mazishi.Picha Kwa Hisani ya The Choice Blog
Post a Comment