Muigizaji mashuhuri
duniani Eddie Murphy anaiwa kufariki Duniani katika ajali wakati akishiriki
mchezo wa kuteleza katika barafu hii Jana.
Murphy pamoja na familia
na marafiki zake walikuwa mapumzikoni Nchini Uswis katika mji wa
Zernatt.
Mmoja wa mashuhuda
wanasema kuwa Murphy alipoteza muelekeo baada ya kushindwa kuidhibiti ubaowake
wa kutelezea katika barafu na kupelekea kunasa katika mtu huku akiwa katika
mwendo kasi.
Eddie Murphy alipata
msaada kutoka kwa kikosi maalum cha doria cha Ski na kupelekwa katika Hospitali
ya jirani lakini inaelezwa kuwa Muigizaji huyo huenda alipoteza maisha muda
mfupi baada ya ajali hiyo.
Ajali hiyo inaelezwa kuwa
ni ajali ya kawaida kwani Murphy alikuwa amevalia kofia yake ngumu ‘helmet’ na
hakuwa ametumia kilevi chochote wala madawa.
Hii ni mara ya tano sasa kutolewa taarifa juu ya muigizaji Eddie Marphy , 51, kufa wakati akicheza katika barafu aktika mji huo wa Zermatt, nchini Uswis lakini mara nne hakuwa amefariki.
Hii ni mara ya tano sasa kutolewa taarifa juu ya muigizaji Eddie Marphy , 51, kufa wakati akicheza katika barafu aktika mji huo wa Zermatt, nchini Uswis lakini mara nne hakuwa amefariki.
Post a Comment