Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

PONGEZI KWA USHINDI ALIOUPATA MWALIMU AU

 
 
"Tayari, Picha ya Baba wa Taifa letu, Mwalimu Nyerere imewekwa kwenye jengo kuu la AU. Nataka kutoa pongezi zangu za dhati kwa wale wote waliopigania haki na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere mpaka kuhakikisha Picha yake iwekwe kwenye Jengo Kuu la Umoja wa Africa huko Mjini Addis Ababa. Watanzania tuna kila sababu ya kujivunia hilo"  - Emmanuel Shilatu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top