Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS DK. SHEIN ATEMBELEA MAONYESHO YA VIKUNDI YALIYOFANYIKA KWENYE MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA BWAWANI ZANZIBAR

IMG_5730
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Nassor Hamadi Omar, wa (ZOP) Zanzibar Orgave Prodiusears, cha Fuoni Unguja, wakati alipotembelea  maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya wajasiria mali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana
IMG_5564
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akiangalia kitabu wakati alipotembelea  Kikundi cha Moto Hand Craft, cha Pete Wilaya ya Kusini Unguja,ambacho kinazalisha nguo aina ya Batiki,maonesho ya vikundi mbali mbali vya Wajasiria mali yaliyofanyika katika mkutano wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana
IMG_5566
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimuelekeza jambo Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko,Nassor Ahmed Mazrui,wakati alipotembelea  Kikundi cha Moto Hand Craft, cha Pete Wilaya ya Kusini Unguja,ambacho kinazalisha nguo aina ya Batiki,katika maonesho ya vikundi mbali mbali vya Wajasiriamali katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana
IMG_5603
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Afisa Viwanda, Yussuf Maulid Yussuf, (wa pili kulia)kutoka Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko,wakati alipotembelea  maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya Wajasiriamali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani leo,(kushoto) Margret Antony,wa kikundi cha Niasafi Women Group cha Kwahani Mjini Unguja.
IMG_5626
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Asha Hassan, (kushoto) wa kikundi cha Sam Acictial Oil,cha Mkele wilaya ya Mjini Unguja, wakati alipotembelea  maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya wajasiria mali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana
IMG_5653
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Tatu Suleiman wa kikundi cha Zaidat Oil & Soap Spice,cha Chukwani Magharibi Unguja,(kushoto) alipokuwa akiangalia mafuta ya wakati  alipotembelea  maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya wajasiria mali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana.
IMG_5685
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Marium Hilali,(kushoto) wa kikundi cha Zaspo cha Kiembesamaki,wilaya ya Mahgaribi Unguja, wakati alipotembelea  maonesho ya Bidhaa mbali mbali za Vikundi vya wajasiria mali yaliyofanyika leo katika mkutano wa Saba wa Baraza la Biashara katika viwanja vya Salama Bwawani jana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top