
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeniwakeMwenyekiti wa umoja wa afrika Rais wa Benin Mhe Boni Yayi ikulu jijini dar es salam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa umoja wa afrika Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakongea na waandishi wa habari Leo ikulu jijini dar es salam.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mwenyekiti wa umoja wa afrika Rais wa Benin Mhe Boni Yayi wakiangalia ngoma uwanja wa ndege wa Mwl Julias Nyerere Leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakijadiliana jambo na rais wa benini leo ikulu jijini dar es salam

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimuaga Mwenyekiti wa umoja wa afrika Rais wa Benin Mhe Boni Yayi leo jijini Dar es salam

 

 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Post a Comment