Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SIMBA YAGONGWA 1-0 OMAN


Simba SC jana imefungwa 1-0 na timu ya taifa ya soka ya Oman chini ya umri wa miaka 23 katika mchezo wake wa  kwanza wa kirafiki katika ziara yake ya mafunzo nchini Oman. Simba ipo huko tangu wiki iliyopita ikiwa imeweka kambi mjini Muscat na itaendelea kujifua huko hadi mwishoni mwa mwezi. Taarifa hizi ni kwa mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa Simba SC, Geoffrey Nyange 'Kaburu' 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top