Nina uhakika utakua unaikumbuka ile stori
ya mwimbaji wa bongofleva Stara Thomas kutangaza kuokoka na kuachana kabisa na
muziki wa bongofleva, badala yake atakua anafanya gospel.
Japokua
alitangaza kuwepo kwenye gospel rasmi baada ya kuokoka, Stara aliwahi kuweka
wazi kwamba wasanii wa gospel hawana upendo na umoja, yani ni afadhali wasanii
wa bongofleva mara mia manake amelishuhudia hilo kwa macho yake na wala sio
kuhadithiwa.
Sasa ukweli nikwamba Mwimbaji huyu mkali wa voco ambae
natamani angefanya na kazi ya utangazaji wa radio pia, amefanya kolabo na
mwimbaji Linex wa bongofleva....
Alichosema Linex ni kwamba wimbo huo
wa bongo fleva umeshakamilika na kinachosubiriwa ni taratibu zilizopangwa za
kuuachia, na kwa mujibu wa Linex ni kwamba Stara Thomas mwenyewe ndio alimpigia
ili wairekodi hiyo kolabo ya bongofleva.
habari/picha:mpekuzi blog
![](http://2.bp.blogspot.com/-8hhBSE96Uww/UOzIuoHXCTI/AAAAAAAAX1I/gFh2UCBtrKM/s640/stara+thomas.bmp)
Nina uhakika utakua unaikumbuka ile stori ya mwimbaji wa bongofleva Stara Thomas kutangaza kuokoka na kuachana kabisa na muziki wa bongofleva, badala yake atakua anafanya gospel.
Japokua alitangaza kuwepo kwenye gospel rasmi baada ya kuokoka, Stara aliwahi kuweka wazi kwamba wasanii wa gospel hawana upendo na umoja, yani ni afadhali wasanii wa bongofleva mara mia manake amelishuhudia hilo kwa macho yake na wala sio kuhadithiwa.
Sasa ukweli nikwamba Mwimbaji huyu mkali wa voco ambae natamani angefanya na kazi ya utangazaji wa radio pia, amefanya kolabo na mwimbaji Linex wa bongofleva....
Alichosema Linex ni kwamba wimbo huo wa bongo fleva umeshakamilika na kinachosubiriwa ni taratibu zilizopangwa za kuuachia, na kwa mujibu wa Linex ni kwamba Stara Thomas mwenyewe ndio alimpigia ili wairekodi hiyo kolabo ya bongofleva.
habari/picha:mpekuzi blog
Post a Comment