Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAKAGUZI WA POLISI WA TARAFA WAKABIDHIWA PIKIPIKI JIJINI ARUSHA LEO

GEDSC DIGITAL CAMERA

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akimkabidhi pikipiki Mkuu wa Polisi wilaya ya Monduli Mrakibu wa Polisi Morris Okinda ambaye itatumika na askari tarafa waliopo wilayani kwake.(Picha na Rashid Nchimbi wa jeshi la Polisi Arusha)
GEDSC DIGITAL CAMERA
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akimsalimia Mkaguzi wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha, Mikidadi Galilima wakati wa hafla ya makabidhiano ya pikipiki za Wakaguzi wa polisi wa Tarafa iliyofanyika leo tarehe 31.01.2013 katika kiwanja kilichopo katika kambi ya polisi ya Arusha mjini. (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
GEDSC DIGITAL CAMERA
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi katika hafla ya makabidhiano ya pikipiki za Wakaguzi wa Polisi wa Tarafa wa Mkoa wa Arusha. Anayemuongoza mbele yake ni Mkaguzi wa Polisi Isaack Manoni (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha
GEDSC DIGITAL CAMERA
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Liberatus Sabas akiongea katika hafla ya kukabidhi pikipiki kwa Wakaguzi wa Tarafa kutoka wilaya mbalimbali za Mkoa huu. (Picha na Rashid Nchimbi wa jeshi la Polisi Arusha)
 
GEDSC DIGITAL CAMERA
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mulongo akipokea heshima za gwaride lililoandaliwa na kikosi cha kutuliza ghasia kilichopo mkoani hapa. Nyuma yake ni Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas na Kamanda wa Kikosi cha Kuzuia wizi wa Mifugo (STPU) Tanzania Bara Kamishna Msaidizi wa Polisi Ibrahimu Kilongo (Picha na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top