Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana leo
amedhihirisha kuwa ni mtu wa vitendo zadi kuliko maneno, baada ya kuonyesha
uwezo wake wa kufanya kazi za kijamii kwa umahiri mkubwa, kwa kushiriki katika
ujenzi wa chumba cha darasa katika shule ya Sekondari Kumwambo na ujenzi wa
Ofisi ya CCM tawi la Bunyambo, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani
ya Chama, ambayo ni sehemu ya sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, ambayo
kilele chake ni Februari 3, mwaka huu mjini Kigoma. Pichani Kinana akishiriki
ujenzi wa darasa katika shule ya sekondari Kumwambo, Kibondo
Kinana akiongoza ujenzi wa chumba cha darasa kwenye shule ya sekondari Kumwambo. Wapili kushoto ni Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Abdallah Bulembo na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Amani Walid Kaborou
Kinana akiongoza ujenzi wa Ofisi ya CCM tawi la Bunyambo, wilayani Kibondo mkoani Kigoma
Kinana akihakiki kwa kipimo wakati akiendelea na ujenzi kwenye ofisi hiyo ya CCM. Kulia ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi mkoa wa Kigoma, Stanley Mkandawile
Kinana akiendelea na ujenzi kwenye Ofisi hiyo ya CCM
Kinana akitazama kama tofali limekaa sawa, wakati akishiriki kujenga Ofisi hiyo ya CCM
LETE TOFALI: Anasema Kinana kumwabia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kigoma, Dk. Kaborou wakati akiendelea kushiriki ujenzi wa Ofisi hiyo ya CCM
Kisha Kinana akawaaga wananchi waliohudhuria kwenye Ujenzi wa Ofisi hiyo
Katibu Mkuu wa CCM (kushoto) na ujumbe wake wakichagua miwa kwa muuzaji waliyemkuta njiani wakati wakitemebea kwa mguu kiasi cha kilometa moja na nusu kwenda kwenye mkutano wa hadhara baada ya ujenzi huo. (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO)

Post a Comment