Wasanii wa filamu, kutoka
kushoto; Jacob Steven 'J B', Vicent Kigosi 'Ray', Irene Uwoya, Wema Sepetu na
Single Mtambalike 'Rick Rich' walipowasili Kwadelo kwa ajili ya kushiri uzinduzi
huo wa kampeni ya Kilimo Kwanza kwa vijana wa Kata hiyo.
Wazee wa Kwadelo wakati
wakimsubiri kuwasili kwa diwani wao pamoja wasanii hao
Ray akipozi picha na wazee
wa Kwadelo
Kariati akiwa na wasanii hao
kwenye trekta kabla ya uzinduzi wa kampeni hiyo
Wema Sepetu akiungurumisha
trekta ikiwa ni sehemu ya uzinduzi wa kampeni hiyo. Wapili Kulia ni Omary
Kariati
Uwoya naye akilijaribu
trekta kwenye uzindzi huo
KWADELO HOYEEEEEE! J B
akihamasisha wakati wakiwa kwenye trekta la kilimo wakati wa uzinduzi
huo
Treka likionyesha mfano wa
ulimaji wa kisasa kwenye shamba la shule ya sekondari ya Kwadelo wakati wa
uzinduzi huo
KITUKO: Panzi! Panzi!
Panzi!, Wema Sepetu (shati ya kijani) akifunika uso wake kwa kipochi chake, huku
akipiga kelele na kujiingiza katika kundi la wazee, kwa sababu ya kuogopa panzi
aliyemdandia wakati wa shughuli za uzinduzi huo shambani
J B na Wema wakila mapozi
shambani wakati wakienda sehemu ya uzinduzi
Wema akitangaza kuzindua
kampeni hiyo
BAADAYE: Wasanii hao
wakimkabidhi sh. 500,000 mmoja wa wananchi wa Kwadelo walioathirika na mafuriko.
Kwa mujibu wa Diwani Kariati (wapili kushoto), fedha hizo zimetolewa na Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Meembe ambaye ni mzee wa
heshima wa kata hiyo.
Diwani Kariati akikagua
maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika moja ya vijiji vya Kata ya Kwadelo,
kufuatia mvua zoinazoendelea katika maeneo mbalimbali nchini
Kariati akionyeshwa maeneo
yaliyoathirika
Wazee wakiomba dua ya kheri
baada ya shuguli za uzindizi wa Kampnei ya kilimo kwanza na kukagua maeneo ya
walioathiriwa na mafuriko: Pocha zote na Bashir Nkoromo wa Daily Nkoromo Blog
Post a Comment