Mangula akizungumza na
Wazee wa CCM kutoka mkoa wa Singida, waliofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM,Lumumba Dar es Salaam, kumpa ujumbe maalum wa kuimarisha chama. Kushoto ni
Mzee Sumbu Galawa na kulia ni Alhaj Mahami Rajabu Kundya na Mujengi Gwao.
(Picha zote na Bashir Nkoromo, Uenezi-CCM)
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Philip Mangula (kushoto) akiwasikiliza Wazee waasisi wa
CCM kutoka mkoani Singida, Kutoka kushoto, Sumbu Galawa, Alhaji Mahami Rajabu
Kundya na Mujengi Gwao Makamu, walipomfikishia ujumbe wao maalum, katika Ofisi
Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 15,
2013.
Mzee Sumbu Galawa akimkabidhi ujumbe maalum, Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pilip Mangula, wakati yeye Wazee wenzake wa CCM kutoka
mkoani Singida, Alhaji Rajabu Kundya (wapili kulia) na Mujengi Gwao (watatu
kulia) walipofika Ofisini kwake, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar
es Salaam, leo, Januari 15, 2013, kuwasilisha ujumbe huo.
.Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Phili Mangula
akimshukuru Mzee Sumbu Galawa, baada ya kupokea ujumbe uliowasilishwa kwake na
Wazee wa CCM kutoka mkoani Singida, Ofisi leo Januari 15, 2013, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam.
Post a Comment