Leo naongelea
kuhusu sehemu za "Mihemuko" au za kupandisha "Geji"
kama wasemavyo vijana wa mjini, Mume na Mke wote mnapaswa kujua ni sehemu zipi
katika mwili wa mwenza wako ukizishika au kuziminya au kuzilamba inapobidi
huleta msisimko kwake na raha kwako kwa upande mwingine ili nyote mfurahie
mapenzi yenu.Haipendezi ukaishi na mkeo au mumeo kwa miaka na ukawa hauzitambui
sehemu hizi, mbaya zaidi eti ukawa unamwonea aibu kumshika sehemu fulani au wewe
ukiguswa sehemu unautoa mkono wa mwenzio, mh... tutafika kweli kwa staili hiyo? .....
Inabidi wote muwe huru kusomana, kushikana na kuchezeana sehemu zote za miili
yenu, muhimu msicheze michezo michafu ya kinyume! Nakuachia wewe mpenzi
mfuatiliaji wangu kuzitafuta sehemu hizo kwa mumeo au mkeo, mimi baada ya
article hii ntawaandikia sehemu za ujumla kwa mume au mke na jinsi ya
kuzisisimua, maana watu huwa wanachanganya mambo, sehemu ya kugusa huifinya,
sehemu ya kulamba huing'ata na kuharibu zoezi zima!
Alfajiri
2 hours ago
Post a Comment