ASKARI WA USALAMA WA
BARABARANI WAKIWA WAMEFIKISHA MAJERUHI PAMOJA NA WATU WALIO FARIKI HOSPITALINI
HAPO
RIPOTI IKIWA INATOLEWA
JUU YA AJALI HIYO HUSSEIN KIF
MMOJA YA ABIRIA
WALIOKUWEMO KATIKA AJALI HIYO
AJALI MBAYA IMETOKEA
MAPEMA LEO MBALALI AMBAPO LORI LA MIZIGO AINA YA SCANIA ILIKUWA IMEBEBA WATU
ZAIDI YA MIAMBILI (200) AMBAO WALIKUWA WANAELEKEA KATIKA KITONGOJI KIMOJA CHA
MWEKEZAJI .
AJALI HIYO IMETOKEA
BAADA YA LORI HILO LENYE NAMBA ZA USAJILI T 398 BSE KUANGUKA NA KUSABABISHA WATU
5 KUFARIKI DUNIA NA WENGINE 20 KUJERUHIWA VIBAYA.
HATA HIVYO MAJERUHI WOTE
WANAKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA ILIYOPO MBEYA MJINI MUDA
HUU.
HIZI NI TAARIFA ZA AWALI
TUU, HABARI NA PICHA ZOTE ZINAKUJA HAPA HAPA
PICHA NA MBEYA YETU
BLOG

Post a Comment