Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Balozi UNESCO atembelea mji mkongwe


baalozi1 4cccdMkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kushoto)akiangalia Utamaduni wa Ususi wa Kindu ambazo hutengezewa vitu mbalimbali,makawa, Mikeka hata Mikoba katika moja ya maduka alioingia katika Sehemu za Mji Mkongwe ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.

baalozi2 f1051
PICHA NO-0825-Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (kulia)akipata maelezo ya Vifaa alivyokuwa akitumia Mfalme Said Bin Sultan kwa Mkurugenzi Idara ya Makumbusho Dk Amina Amei Issa baada ya kutembelea jumba Wananchi Forodhani ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
baalozi 6414a
Mkurugenzi Mkuu wa Unesco Irina Bokova (wanne kutoka kushoto)akitembelea sehemu za Mji Mkongwe wa Zanzibar ikiwa ni miangoni mwa Ziara yake ya Siku mbili Zanzibar.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top