Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BALOZI WA NIGERIA ATEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA SEMENTI CHA DANGOTE MKOANI MTWARA


Mtwara 114 02 13 348
Balozi wa Naigeria hapa nchini Dr Ishaya Majanbu mweyekofia nyekundu akiwa anapata maelezo kutoka kwa meneja wa mradi wa ujenzi wa Dangote Sementi Mkoani Mtwara Eng. D. Musale  ya kuhusu maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha sementi cha Dangote kinachojengwa Mkoani Mtwara Balozi huyo ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa mradi huo alipotembelea mkoani mtwara picha na chris mfinanga
Mtwara 114 02 13 385
Balozi akiwa anaangalia badhi ya vifaa vilinavyo tumika katika mradi wa ujenzi wa kiwanda hicho cha sementi kunacho jengwa na kampuni ya Dangote ya Nigeria.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top