Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

FAMILY DAY YA TCRA ILIVYOKUWA


01
Meneja wa  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA ) Kanda ya Mashariki Eng. Oscar Mwanjesa akikata keki  ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake mbele ya wafanyakazi wenzake  wa Mamlaka hiyo wakati wa hafla ya Siku ya Familia  iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam. Watatu kutoka kulia ni Kaim Meneja Mawasliano wa TCRA Semu Mwakyajala.


03
Wafanyakazi  wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa kusherehekea Siku ya Familia siku ya Fa iliyofanyika katika ufukwe wa bahari ya hindi eneo la hoteli ya Southen Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
04
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliaono (TCRA) Kanda ya Mashariki   wakiwa na kuku kabla ya kushindaniwa.
05
Afisa Mawasiliano wa Mamlaka ya Mawasilioano Tanzania TCRA.Doris  Saivoyre akianzisha shindano la kukimbiza kuku kwa wafanyakazi wa Mamlaka hiyo Kanda ya Mashariki  wakati wa kusherehekea siku  familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni Dar es Salaam.
07
Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)  kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku  katika ufukwe wa haoteli ya Southan Beach Kigamboni  ikiwa ni sehemu  ya kusherehekea siku ya Familia iliyoandaliwa na Mamlaka hiyo jijini Dar es Salaam.
08
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindana kuvuta Kamba ikiwa ni sehemu ya shamrashamra za kusherehekea siku ya Familia  iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni  jijini Dar es Salaam.
11
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA Kanda ya Mashariki wakishindana kukumbia na Magunia  ikiwa ni sehemuya shamrashamra za kusherehekea siku ya Familia  iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni  jijini Dar es Salaam
13
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
14
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA).Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam.
15
Baadhi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA.Kanda ya Mashariki wakiwa na Familia zao wakicheza muziki aina ya kwaito ikiwa ni sehemu ya kusherehekea siku Familia iliyofanyika katika hoteli ya Southan Beach Kigamboni jijini Dar es Salaam
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top