Kampuni ya bia ya Serengeti imezidi kukonga nyoyo za
wapenzi wa bia jijini Dar Es Salaam kupitia kinywaji
chake cha Tusker Lite . Kinywaji hicho cha ukweli
kilizinduliwa mwezi Novemba mwaka jana . Tusker Lite ina
wanga kidogo na ladha halisi ya kuburudisha. Kwa
mujibu wa matukio yanayoendelea katika baa mbalimbali
jijini, wapenzi wa bia wamepata fursa ya kuzungumza na mabalozi wa
kinywaji hicho na kukiri kuwa Tusker Lite ina ladha
murua na kukubali kuwa Tusker Lite ni Lite ya ukweli .
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
Kwa Undani2 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment