Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

BREAKING NEWZZZZ .... MJADALA WA USHOGA WAIPONZA "CLOUDS FM"....TCRA YANYOOSHA MAKUCHA NA KUVIFUNGA VITUO VIWILI VYA REDIO

 










TCRA (800x534)
Mamlaka ya mawasiliano Tanzania, TCRA kupitia kitengo cha maudhui imevifungia matangazo kwa muda wa miezi sita vituo vya radio viwili nchini kwa kukiuka maadili ya utangazaji.


Vituo hivyo ni pamoja na Kwa Neema FM ya Mwanza iliyofungiwa kwa kuendesha mjadala uliokuwa ukihusiana na watu wa dini gani wenye haki ya kuchinja wanyama kati ya waislam na wakristu hali iliyosababisha mgongano wa waumini wa dini hizo.

Kingine ni Imani Radio FM ya mjini Morogoro ambayo imefungiwa kwa kosa la kupinga zoezi la sensa mwaka jana na kuwashawishi waumini wa dini ya kiislam wasijiandikishe.

Nayo Clouds FM imepigwa faini kwa kuendesha mjadala kuhusiana na ushoga pamoja na kuwa na kipengele kwenye kipindi cha Power Breakfast kiitwacho ‘Jicho la Ng’ombe’ ambacho wametakiwa wakifute kutokana na kuendeshwa kinyume na maadili.



Radio IMANI, Kwa Neema FM zafungiwa Kwa miezi 6.... Clouds Fm yatozwa faini ya Tzs milioni 7.

Kwa Neema Fm sababu Ni kushabikia maswala ya uchinjaji Mwanza.
...

Radio Imani sababu Ni kushabikia watu kutoshiriki sensa 2012

Clouds Fm sababu Ni kuendesha na kushabikia masala ya ushoga wakati wa uchaguzi wa Marekani.

Kuendesha kipengele cha jicho la ng'ombe kisichofuata maadili

TCRA Kitengo cha mahudhui ndiyo kimefanya kazi hii Leo .

SOURCE-: EA RADIO
 
MPEKUZI 
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top