TAHALUKI IMEZAGAA MAKETE NA HOFU KUBWA IMEZAGAA.
Askari polisi Wa Makete aliyekuwa lindo kwenye Benki ya NMB makete
Amempiga Risasi mpaka kufa mteja mmoja Ambaye ni mwalimu wa Shule ya sekondari
Kitulo kwenye ATM Machine aliko toka kutoa Pesa kisa ni majibizano ya askari
polisi na raia. Na majibizano yameanzia kwenye pikipiki aliyokuwa anaendesha
raia Baada kuwa hajavaa helment kichwani. Inasemeka askari polisi alikuwa
amekunywa pombe kali na ameshika siraha.
chanzo:Hekima Sunguruma(facebook)
on Thursday, February 28, 2013
Post a Comment