|
RPC MBEYA DIWANI
ATHUMAN
KAMANDA WA POLISI MKOA
WA MBEYA KAMISHNA MSAIDIZI WA POLISI DIWANI ATHUMANI ANAWATAHADHARISHA WANANCHI
WOTE WA MKOA WA MBEYA KUWA MAKINI NA MIENENDO YA WATOTO WAO WAENDAPO NA
WARUDIPO SHULENI NA WAWAPO MICHEZONI. HAKIKISHENI WANARUDI NYUMBANI MAPEMA,
WAFUNDISHENI KUTOPOKEA ZAWADI AU LIFTI KUTOKA KWA WATU WASIOWAFAHAMU, KWA
KUFANYA HIVYO ITASAIDIA KUWAEPUSHA WATOTO WETU NA VITENDO VYA WIZI WA WATOTO
UNAOWEZA KUJITOKEZA . TAHADHARI HII INATOKANA NA KUIBUKA KWA WIMBI LA MATUKIO YA
WIZI WA WATOTO
WADOGO.
|
on Thursday, February 28, 2013
Post a Comment