Hali ya
bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania si shwari baada ya wabunge wa CCM
na Chadema kuvutana bungeni sasa .
Hivi
sasa mwanasheri mkuu wa serikali ameingilia kati kwa kutoa japo uwezekano
wa kuongea umekuwa mgumu baada ya wabunge wa Chadema kufanya vurugu kubwa kwa
kuimba CCM! CCM!,CCM !!
Hadi
sasa hali imeendelea kuwa tete katika ukumbi huo wa bunge baada ya
wabunge kugomea hoja hiyo ya mbunge wa jimbo la Ubunge John Mnyika na bunge
kuhairishwa na bunge limevunjika hadi kesho asubuhi
Fuatilia..!
source http://dodoma-yetu.blogspot.com
Post a Comment