|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akisalimiana
na Dk.Rawya Saud Al Busaid, Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman, alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo. |
|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kushoto) akisalimiana
na Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu, Sayansi na
Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas, akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo. |
|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na
Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo ya Elimu,Sayansi na
Utamaduni (UNESCO) Irina Bokovas,akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar leo |
|
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na
Waziri wa Elimu ya Juu wa Nchini Oman Dk.Rawya Saud Al Busaid, ,pamoja na
ujumbe aliofuatana nao walipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo. |
on Tuesday, February 5, 2013
Post a Comment